Title Image

TANGAZO LA NAFASI YA MASOMO

Posted: 2017-01-25 05:25:30
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO ZILIZOTOLEWA NA JUMUIYA YA MADOLA NGAZI YA SHAHADA YA PILI (MASTERS) KWA MWAKA 2017

Kwa maelezo zaidi kuhusiana na nafasi hizo tembelea katika TOVUTI HII

AU


Fika Kitengo cha Uratibu wa Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Mazizini - Zanzibar. Chumba No.57

Masomo yataanza mwezi wa Agosti na Oktoba 2017.

Gharama zote za masomo kwa muombaji atakeafanikiwa kupata nafasi hizo atagharamiwa.

Mwisho wa kufanya maombi ya nafsi hizo ni; 10 Machi 2017