Title Image

MAOMBI YA MAFUNZO YA UALIMU 2017/2018

Posted: 2017-02-27 01:34:14
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI KUPITIA IDARA YA MAFUNZO YA UALIMU INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO YA UALIMU, NAFASI HIZO NI KAMA ZINAVOJIELEZA HAPO CHINI:-
  1. UALIMU WA GRADE 3A CHETI AMBAYO MAFUNZO YAKE YANATOLEWA KWA MFUMO WA ELIMU MASAFA (DISTANCE EDUCATION)

  2. UALIMU KUPITIA VYUO VYA UALIMU, CHUO CHA KIISLAM KILIOPO MAZIZINI UNGUJA NA CHUO CHA KIISLAMU KILIOPO KIUYU PEMBA
TAFADHALI FUNGUA KURASA ZA HAPA CHINI KUPATA FOMU ZA MAOMBI
  1. FOMU YA MAOMBI YA MAFUNZO YA UALIMU KWA NJIA YA ELIMU MASAFA (DINSTANCE LEARNING)

  2. FOMU YA KUOMBEA MASOMO KATIKA CHUO CHA KIISLAMU
KWA MAELEZO ZAID WASILIANA NA IDARA YA MAFUNZO YA UALIMU