Title Image

NAFASI ZA NASOMO MISRI

Posted: 2018-02-15 05:21:19
TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO KATIKA CHUO KIKUU CHA HELWAN KILICHOPO MISRI

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali , Zanzibar inatangaza nafasi za masomo kama ifuatavyo:

Shahada ya kwanza:

Tourism &Hotel
Commerce
Engineering na Computer Technology

Shahada ya Pili

Fine Arts and Music

Waombaji wa shahada ya pili wanatakiwa wawe wamefaulu Shahada ya Kwanza kwa kiwango kisichopungua GPA 3.2

Shahada ya Tatu

Fine Arts and Music

Waombaji wanatakiwa wawe wahitimu wa Shahada ya Pili katika fani ya Sayansi na Utafiti

Kwa maelezo Zaidi tafadhali tembelea tovuti:

http://www.helwan.edu.eg/internationalstudents


Mwisho wa kufanya maombi ni tarehe 26/04/2018