Title Image

View GalleryAll Categories


MATOKEO YA MITIHANI DARASA LA SABA NA KIDATO CHA PILI 2014
Image 1

MATOKEO YA MITIHANI DARASA LA SABA NA KIDATO CHA PILI 2014 : Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali - Zanzibar Mhe. Ali Juma Shamuhuna pamoja na Viongozi wengine wa WEMA akitoa muhutasari wa matokeo ya darasa la saba na kidato cha pili kwa mwaka 2014

UZINDUZI WA KONGAMANO LA KUSOMA TZ21
Image 2

UZINDUZI WA KONGAMANO LA KUSOMA TZ21 : Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Ali Juma Shamuhuna akihutubia wanasemina katika ufunguzi wa kongamano la kusoma

WANAFUNZI WA SKULI YA MSINGI MWANAKWEREKWE C
Image 3

WANAFUNZI WA SKULI YA MSINGI MWANAKWEREKWE C : Wanafunzi wakiwa katika Sherehe za Uzinduzi wa Mradi TZ21

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM
Image 4

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM : Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa ICT Omar Said Ali wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Studio katika Kituo cha Elimu ya Habari akiwa na Viongozi aliofuatana nao baada ya kuzindua

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM
Image 5

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi aliofuatana nao wakipata maelezo kutoka kwa Fatuma Ahmed,wakati alipotembelea Chumba cha Studio baada ya kufanya uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Habari katika Elimu tareh

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM
Image 6

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Habari katika Elimu tarehe 11/01/2017,iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo

UFUNGUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA
Image 7

UFUNGUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuizindua Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Habari katika Elimu tarehe 11/01/2017,iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA) ikiwa

WAJUMBE WA KAMATI YA USTAWI WA JAMII
Image 8

WAJUMBE WA KAMATI YA USTAWI WA JAMII : Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii wa Baraza la Wawakilishi pamoja na Watendaji wa Wizara katika kikao cha Majumisho ya ziara yao 23/01/2017 na 26/01/2017

UZINDUZI WA KITABU CHA MSANII HAJI GORA
Image 9

UZINDUZI WA KITABU CHA MSANII HAJI GORA : Mwandshi wa Kitabu cha MAISHA YA HAJI GORA Mhe. Ally Saleh Mbunge wa Malindi Unguja akiweka saini katika Kitabu hicho mbele ya Watendaji wa Idara ya TEHAMA katika Elimu wakati wa hafla ya uzinduzi wa kitabu hicho. Kushotoni kwake ni Ndugu Ahmad Ali Mohamed Afisa Uendeshaji na Mipango na kuliani kwak

UZINDUZI WA KITABU CHA MSANII HAJI GORA
Image 10

UZINDUZI WA KITABU CHA MSANII HAJI GORA : Mkurugenzi Idara ya Elimu Sekondari Ndugu Asya Iddi akihutubia katika hafla fupi ya kuzindua Kitabu cha MAISHA YA HAJI GORA kilichoandikwa na Mhe. Ally Saleh (mwanzo kulia) Mbunge wa Malindi Unguja.

MKURUGENZI AKABIDHI TELEVISHENI NA MAGODORO KWA SHEHA WA SHEHIA YA KIL
Image 11

MKURUGENZI AKABIDHI TELEVISHENI NA MAGODORO KWA SHEHA WA SHEHIA YA KIL : Mkurugenzi Idara ya Elimu ya Maandalizi na Msingi Bi. Safia A. Rijaa akimkabidhi Sheha wa Shehia ya Kilombero Wila ya Kaskazini “A” Unguja Bw. Moh’d haji Faki seti ya Televisheni na Magodoro kwa niaba ya Skuli na Wananchi wa Mgonjoni iliopo katika Shehia hiyo

MAKABIDHIANO YA TELEVISHENI NA MAGODORO BAINA MWENYEKITI WA IKHLAS CHA
Image 12

MAKABIDHIANO YA TELEVISHENI NA MAGODORO BAINA MWENYEKITI WA IKHLAS CHA : Mwenyekiti Mwenza wa Ikhlas Charetable Group Shekh Mohamed Suleiman Ali akimkabidhi Mkurugenzi Idara ya Elimu ya Maandalizi na Msingi Bi. Safia Ali Rijaal seti ya Televisheni na Magodoro kwa ajili ya Skuli na Wananchi wa Mgonjoni iliopo Shehia ya Kilombero Wilaya Kaskazini “A” Unguja.