Title Image

View GalleryAll Categories


Utiaji Saini
Image 1

Utiaji Saini : Wzairi wa Elimu na Mafuzo ya Amali akitiliana saini na Balozi wa Nigeria makubaliano ya kuleta walimu wa sayansi

Ziara ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Image 2

Ziara ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar : Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar akitembelea Chuo Kikuu Kiishiri cha Elimu Chukwani Zanzibar. Kuchotoni kwake nini Makamu Mkuu wa Chuo, Naibu Waziri wa Elimu na Waziri wa Elimu - Zanzibar.

Mkuu wa Kiwanda cha Uchapaji
Image 3

Mkuu wa Kiwanda cha Uchapaji : Meneja wa Kiwanda cha Uchapaji cha Chuo Kikuu Kishiri cha Elimu Chukwani Zanzibar Mr. Ameir Haji Ameir, akitowa maelezo ya utendaji wa kiwanda hicho cha uchapaji jinsi kinavyotoa huduma kwa Taasisi za Serekali na za Binafsi

WATENDAJI WA WIZARA
Image 4

WATENDAJI WA WIZARA : Uwasilishaji wa Mpango Mkakti kwa robo ya nne 2011/12 na robo ya kwanza 2012/13

WATENDAJI WA WIZARA
Image 5

WATENDAJI WA WIZARA : Uwasilishaji wa Mpango Mkakti kwa robo ya nne 2011/12 na robo ya kwanza 2012/13

WANAFUNZI WAWILI WA SKULI YA SEKONDARI YA LUMUMBA KUSHIRIKI MASHINDANO
Image 6

WANAFUNZI WAWILI WA SKULI YA SEKONDARI YA LUMUMBA KUSHIRIKI MASHINDANO : Wanafunzi wanaoiwakilisha Tanzania katika Mashindano ya Kimataifa ya "Young Scientist" yakayofanyika nchini Ireland mwaka huu 2015 katika picha ya pamoja. Katikati ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mh. Ali Juma Shamuhuna na Naibu wake Mhe. Zahra Ali Hamad wa pili kutoka kushoto, na kutokea upan

LUMUMBA KUSHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA YA WANASANSI WACHANGA “YOU
Image 7

LUMUMBA KUSHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA YA WANASANSI WACHANGA “YOU : Wanafunzi wanaoiwakilisha Tanzania katika Mashindano ya Kimataifa ya "Young Scientist" yakayofanyika nchini Ireland mwaka huu 2015 katika picha ya pamoja.

MATOKEO YA MITIHANI DARASA LA SABA NA KIDATO CHA PILI 2014
Image 8

MATOKEO YA MITIHANI DARASA LA SABA NA KIDATO CHA PILI 2014 : Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali - Zanzibar Mhe. Ali Juma Shamuhuna pamoja na Viongozi wengine wa WEMA akitoa muhutasari wa matokeo ya darasa la saba na kidato cha pili kwa mwaka 2014

UZINDUZI WA KONGAMANO LA KUSOMA TZ21
Image 9

UZINDUZI WA KONGAMANO LA KUSOMA TZ21 : Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Ali Juma Shamuhuna akihutubia wanasemina katika ufunguzi wa kongamano la kusoma

WASHIRIKI WA SEMINA TZ21
Image 10

WASHIRIKI WA SEMINA TZ21 : Kongamano la kusoma

WANAFUNZI WA SKULI YA MSINGI MWANAKWEREKWE C
Image 11

WANAFUNZI WA SKULI YA MSINGI MWANAKWEREKWE C : Wanafunzi wakiwa katika Sherehe za Uzinduzi wa Mradi TZ21

ONESHO LA SARAKASI
Image 12

ONESHO LA SARAKASI : Wanafunzi wa skuli mbali mbali wakifanya onesho la sarakasi katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Elimu Bila Malipo katika Uwanja wa Aman

Education Lab
Image 13

Education Lab : Stakeholders' Workshop on Development of Education Sector Plan 2016-2020

Wanafunzi wa Msingi
Image 14

Wanafunzi wa Msingi : Wanafunzi wa Skuli za msiningi

MAHAFALI YA WALIMU WA MAANDALIZI KUPITIA ECAP
Image 15

MAHAFALI YA WALIMU WA MAANDALIZI KUPITIA ECAP : Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma akikagua maonesho katika mahafali ya walimu wa Maandalizi kupitia Programu ya ECAP

PICHA YA PAMOJA CHUO CHA AMALI MKOKOTONI
Image 16

PICHA YA PAMOJA CHUO CHA AMALI MKOKOTONI : Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma akiwa na Ujumbe wa Iran katika Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni